Naomba msaada kuhusu Vb6 na SQL Server

fredie92

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
133
Reaction score
32
Wakuu,

Katika kufanya connection kati ya vb6 na sql server2008 r2 kila kitu kimeenda sawa (zimeonana). Tatizo ni tables zinashindwa kuonekana na kinachoonekana ni database name tu.

Hivyo nikiwa nina run message ifuatayo inaonekana. Naomba msaada...

Run-time error '-2147217865 (80040e37)'
[Microsoft] [ODBC SQL SERVER DRIVER][SQL SERVER] Invalid object name 'iwadco_user'


Niki-debug line inakuwa allocated hii yenye red color


If DBConnect(sqlserverdata(0), sqlserverdata(1), sqlserverdata(2), sqlserverdata(3)) = True Then
lblStatus.Caption = "Complete..."


rsCheck


rs.Open "SELECT * FROM iwadco_user WHERE status='E'", CN, adOpenStatic, adLockOptimistic
If rs.RecordCount = 0 Then
frmAddUser.Show
Else
'frmLogin.Show
frmMain.Show
End If
Unload Me
Timer1.Enabled = False
Else
X = -1
frmSetDB.txtConDb.Text = sqlserverdata(0)
frmSetDB.txtUser.Text = sqlserverdata(1)
frmSetDB.TxtPass.Text = sqlserverdata(2)
frmSetDB.txtDb.Text = sqlserverdata(3)
Kill App.Path & "\config.ini"
MsgBox "Remote server not found or Access Denied!", vbExclamation, Me.Caption
End If
End If
X = X + 1
End Sub

Pia kama kuna uwezekano itakuwa vizuri tukitumia team viewer...

Shukrani wakuu!!!
 
Jaribu kutumia Connection String:
Protected Const SqlConnectionString As String = _
"Server=(local);" & _
"DataBase=JinaLaDatabase;" & _
"Integrated Security=SSPI"


Kama unatumia SQL Express sehemu ya server ongezea sqlexpress:
Protected Const SqlConnectionString As String = _
"Server=(local)\sqlexpress;" & _
"DataBase=JinaLaDatabase;" & _
"Integrated Security=SSPI"


Baada ya hapo unaweza ukafanya unachokitaka kwa kutumia SqlConnectionString kama ku create DB,Tables, ku display data na kadhalika.
 
Run-time error '-2147217865 (80040e37)'
[Microsoft] [ODBC SQL SERVER DRIVER][SQL SERVER] Invalid object name 'iwadco_user'

Unapata hii error kwasababu una-connect kwa kutumia user ambayo haina access ya hiyo table

Kama hiyo user ni owner wa database basi unaweza ku-adjust ownership of the object

Enterprise Manager >> Table >> Properties >> Permissions (Halafu adjust)

Kama ikishindikana unaweza ukatumia ushauri wa deejaywillzz kubadilisha connection method kwenye program yako.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu upande wa code nadhani upo vizuri ila database ndo shida... users wangu nimewapa full access... wapi inaweza ikawa shida? Shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…