Habari wakuu,
Nnapotumia whatsapp nikifungua sehem ya chat ili kuona profile picture za contact za watu wengi system inakata na inarudi sehem ya kutuma message kwa uloanza kuchat nao. Nimejaribu kuunstall mara mbili lkn tatizo bado pale pale. Mwenye uelewa na haya mambo anielekeze.
mwl RCT,
CHIEF MKWAWA