monte caro
Member
- May 9, 2014
- 12
- 12
Duh [emoji849] hakulaliki huko eeghh?? Sina uhakika ila nadhani hii ni "Non-reactive" subiri wajuvi waje. Meza dawa za usingizi ulale
Man down, I repeat man down!
Over!
Katafute kipimo kingine labda
Negative... Hongera...
Utumie Kinga sasa na utulie, si unaona jinsi ulivyokesha?Absolutely usingizi haukuja. leo CTC wamepima na hicho hicho naonekana nilikua na contaminants kwenye mkono na skusafisha sehem na spritis kabla kutoa damu, pia nimepima damu nkakuta nina alergy inayozalisha kinga pia nikapewa ant alergy.. ila muhudumu kasema sina tatizo
Utulie sasa na hii ID Mpya kabisa URUDI na Ile ya zamaniSkupenda kupata pressure zaidi, nkaenda CTC nkapimwa na mtaalamu ikaonesha negative ila nina allergic zina fight kene damu so nkapewa ant allergy dawa tuu.
pole mkuuSkupenda kupata pressure zaidi, nkaenda CTC nkapimwa na mtaalamu ikaonesha negative ila nina allergic zina fight kene damu so nkapewa ant allergy dawa tuu.