mkuu kama hujui carriers za hii course usingeichagua ndugu yangu..........utaishia kutembea na bahasha ...nchi yetu hii ni ya kusadikika.....mtu anakushauri ujiajiri ili hali yeye ameajiriwa ...ungesoma BEEM ya mzumbe ingekupa mwongozo mzuri wa kujiajiri na kuajiriwa...
ni mtazamo tu usijenge chuki na mimi hata na Majani...
Hiyo sio course. Ni Degree Program. Anyway... ungeomba ushauri huu kabla ya kufanya application ingekuwa poa sana....kipindi hiki utavunjika moyo kwa ushauri wa watu ukaishia kujilaumu.....ila kama una mpango wa kubadilisha basi ushauri ulio/unao/utakaopewa unaweza kuutumia.
Kama maisha yao kama ya kwetu afanye transfer,kwa mfano kuna bachelor ya education in commerce ni nzuri sana coz masomo yake ya kufundishia yapo poa na ajira zake cyo ngumu.Unachukua uchumi na accounting au maths kama masomo ya kufundishia