M Mussa Humphrey Luambano New Member Joined Aug 21, 2024 Posts 2 Reaction score 2 Sep 5, 2024 #1 Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?!
Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?!
M Mundele Makusu1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 2,614 Reaction score 3,703 Sep 9, 2024 #2 nenda steshenari ya karibu ..wao wanakutanaga na watu wengi wenye changamoto kama hizi,hivyo utapata ufumbuzi wa tatizo lako
nenda steshenari ya karibu ..wao wanakutanaga na watu wengi wenye changamoto kama hizi,hivyo utapata ufumbuzi wa tatizo lako
genius_ JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 508 Reaction score 1,328 Sep 9, 2024 #3 The National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) | “Striving for world-class excellence in technical and vocational education and training” www.nactvet.go.tz ingia hapo ufuate maelekezo
The National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) | “Striving for world-class excellence in technical and vocational education and training” www.nactvet.go.tz ingia hapo ufuate maelekezo
Mtu Alie Nyikani JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 1,357 Reaction score 3,102 Sep 9, 2024 #4 Mussa Humphrey Luambano said: Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?! Click to expand... AVN ni number inayotolewa na NACTVET kuthibitisha matokeo yako ya diploma. So Ili uipate ni lazima uombe kupitia kurasa zao za mitandaoni. Bila hiyo huwezi kuomba mkopo au chuo. Kama una changamoto yoyote uliza nitakusaidia pale nitakapo weza
Mussa Humphrey Luambano said: Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?! Click to expand... AVN ni number inayotolewa na NACTVET kuthibitisha matokeo yako ya diploma. So Ili uipate ni lazima uombe kupitia kurasa zao za mitandaoni. Bila hiyo huwezi kuomba mkopo au chuo. Kama una changamoto yoyote uliza nitakusaidia pale nitakapo weza
Last sentinel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 267 Reaction score 108 Sep 13, 2024 #5 OMS12 said: Mimi pia tatizo linafanana View attachment 3088090 Click to expand... ushatatuw tatizo?
Last sentinel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 267 Reaction score 108 Sep 13, 2024 #6 Mussa Humphrey Luambano said: Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INA Mussa Humphrey Luambano said: Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Ni Click to expand... SEMA no data found shida ni Nini ?! Click to expand... ushatatua tazo??? Mussa Humphrey Luambano said: Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?! Click to expand...
Mussa Humphrey Luambano said: Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INA Mussa Humphrey Luambano said: Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Ni Click to expand... SEMA no data found shida ni Nini ?! Click to expand... ushatatua tazo??? Mussa Humphrey Luambano said: Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?! Click to expand...
M mazaga one JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 2,603 Reaction score 4,184 Sep 14, 2024 #7 Mwenye changamoto ya hayo mambo ya AVN,nitafute nikusaidie,au kama ukiwa na changamo yoyote ile nitakusaidia humu humu
Mwenye changamoto ya hayo mambo ya AVN,nitafute nikusaidie,au kama ukiwa na changamo yoyote ile nitakusaidia humu humu
M Mussa Humphrey Luambano New Member Joined Aug 21, 2024 Posts 2 Reaction score 2 Sep 24, 2024 Thread starter #8 Last sentinel said: ushatatuw tatizo? Click to expand... Tayari mkuu
S skipkirk New Member Joined Mar 7, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Mar 7, 2025 #9 mazaga one said: Mwenye changamoto ya hayo mambo ya AVN,nitafute nikusaidie,au kama ukiwa na changamo yoyote ile nitakusaidia humu humu Click to expand... Kaka habari mimi nina changamoto na nahitaji msaada
mazaga one said: Mwenye changamoto ya hayo mambo ya AVN,nitafute nikusaidie,au kama ukiwa na changamo yoyote ile nitakusaidia humu humu Click to expand... Kaka habari mimi nina changamoto na nahitaji msaada
Last sentinel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 267 Reaction score 108 Mar 9, 2025 #10 skipkirk said: Kaka habari mimi nina changamoto na nahitaji msaada Click to expand... sawa kaka,0759-124378 namba yangu
skipkirk said: Kaka habari mimi nina changamoto na nahitaji msaada Click to expand... sawa kaka,0759-124378 namba yangu