Naomba msaada kuhusu ant-virus

Venant Ben

Senior Member
Nov 29, 2010
155
10
Habari zenu members wote wa JF,nina swali !mtu yoyote anaweza kunisaiidia mawazo,
>>nilikua nataka unlock modem ya vodacom (vodafone k3565z na vodafone k3565)
>>pia modem ya TTCL (Huawei EC121)
nimekwisha jaribu program kadhaa za ku-unlock modem but hizo hapo juuu nimeshindwa tofauti na modem za zain (E1550) ambazo naona kama ni rahisi ktk unlocking kwasababu hazijanisumbua kabisa,yoyote anaweza kunisaidai mawazo,
thank u for reading my post!
 
Uliza kwenye google utapata jibu, ningekueleza ila maelezo yatakuwa marefu. Mi nime unlock na nimebadilisha ISO na natumia line zote
 
kaka msaada wa ant virus na ku unlock modem wapi na wapi? mbona kuna kuna thread za ku unlock modem zote humu, jaribu kutafuta utapata link kibao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom