Naomba msaada kodi hizi za javascript

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,201
Reaction score
6,269
Wakuu habari zenu. Nahitaji msaada katika javascript. Ndio kwanza beginner but nina idea kidogo. Najua css na html.

Nimetengeza page with fields.

Sasa kuna sehemu nimeweka ivi:

Code:
<select>
   <option id="mfano1">blah blah</option>
   <option id="mfano2"> blaaaah </option>
</select>

<select>
   <option id="mfano3">123</option>
   <option id="mfano4"> 123456 </option>
</select>

Sasa mimi nnachotaka, kwa mfano user akichagua Blah blah katika option ua mwanzo, kisha katika option ya pili akichagua 123 basi itoe majibu lets say "umepata".

Vipi ntaweza kutumia javascript kuiambia browser kuwa kama kachagua blah blah na 123 jibu liwe umepata?

Nawasilisha
 
Javascript hutumika ku verify correct user input..kama ungetaka app hyo user ndo aingize data ndo ingekua na maana kutumia javascript kuverify..

Sasa tayar ww unainput unazotaka user aweke..mi naona simplest way n kutumia server side language kama PHP o JSP o whatever unayoimaster..

Fanya kuzipokea hzo data af umrudishie user ujumbe uutkao.
 
chilubi

Logic ya solution duuuuh.

1. Assign unique ID kwa hizo select tag
2. Register change event handler kwa hizo select tag, on document ready event
3. Tumia if control logic ku evaluate hiyo condition ukianza na first selection then second selection
4. ...
 
Last edited by a moderator:
Kwanza inabidi uzipe id hizo select fields zako ili upate urahisi wakati unaita values. Halafu pia kwenye options inabidi uweke property ya value badala ya id.

Code:
[SIZE=2][FONT=century gothic]<script type="text/javascript">
function mifano(){

   var mfanoA = document.getElementById("mifanoA").value;
   var mfanoB = document.getElementById("mifanoB").value;

   if(mfanoA == "mfano1" && mfanoB == "mfano3"){ alert("umepata");}

}
</script>[/FONT][/SIZE]

[FONT=century gothic]<select id="mifanoA">
<option value="mfano1">blah blah</option>
<option value="mfano2"> blaaaah </option>
</select>

<select id="mifanoB" onChange="mifano()">
<option value="mfano3">123</option>
<option value="mfano4"> 123456 </option>
</select>[/FONT]
 
Umemaliza kila kitu hapo mkuu, ila huyu ndugu yetu ni beginner utamtesa ukimpa maelekezo matupu
 
deejaywillzz,

Mkuu asante sana nashkuru kwa msaada wako. Imekubali, lakini kuna kitu kimoja samahani kama ntakusumbua, nlikuwa nimeweka <td> </td> sasa nataka hio "umepata" to appear katika hiyo table data.

Alert inakuja browser popup, document.write inaleta results lakini tatizo haikai katika iyo table data cell, inafanya kama inaingia another page na kuweka iyo result.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kwa uelewa wangu javascript ni clientside scripting language, sasa izo action za kuselect option haziwi submitted action ni apo kwa apo tu within browser, ingekuwa form inakuwa submitted ndo ingehitajika serverside scripting language.
 
Uzalendo Installer,

Kwanza inabidi hiyo <td> yako uipe unique id, kwa mfano <td id="mfanoResults"></td> kisha replace mstari wa alert kwenye java script yako na hii code document.getElementById("mfanoResults").innerHTML = "umepata";
 
Reactions: hbi

Thanx bro, nitaifanyia kazi. Je naweza kuweka more than one if statement?
 
Nawashkuru kwa msaada wenu hasa hasa software engineer na deejaywillz.

By the way nishaweza kutumia multiple if statements
 
Nawashkuru kwa msaada wenu hasa hasa software engineer na deejaywillz.

By the way nishaweza kutumia multiple if statements

This is is a small modification of a code by deejaywillz.

<script type="text/javascript">
var kupata="";
function mifano(){

var mfanoA = document.getElementById("mifanoA").value;
var mfanoB = document.getElementById("mifanoB").value;

if(mfanoA == "mfano1" && mfanoB == "mfano3")
{
document.testing.verdict.value="Umepata";
}
else
{
document.testing.verdict.value="Hujapata";
}

}
</script>
<form name=testing>
<table>

<tr>
<td>
First Choice

</td>
<td>
<select id="mifanoA" onChange="mifano()">
<option value="None">Make a Selection</option>
<option value="mfano1">A1</option>
<option value="mfano2"> A2 </option>
</select>
</td>
</tr>
<tr>
<td>
Second Choice
</td>
<td>
<select id="mifanoB" onChange="mifano()">
<option value="None">Make a Selection</option>
<option value="mfano3">B1</option>
<option value="mfano4">B2</option>
</select>
</td>
</tr>

<tr>
<td>
Verdict
</td>
<td>
<input type =text id=verdict value="Hujapata"/>
</td>

</tr>

</table>

</form>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…