Naomba msaada juu ya Pin code za Blackberry katika call barring

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Nimejaribu mala kazaa kuweka namba katika call barring paka ikablock password

Toka Burton sat shop.
 
sijakuelewa vizuri ningependa kukusaidia km tatizo lako bado unaweza kunipigia 0717009369
 
Hakuna pin code za blackberry kwenye call barring.

Call barring ina access mtandao wako wa simu unaotumia, mfano tigo ni pin code yake ni 0000 kama sijakoseha,kama ukuwahi kubadilisha ulitakiwa uweke 0000 Airtel ni 1234, ili kui-unlock nadhani unatakiwa kuingiza PUK namba za Sim Card yako.
 
Ipo enter pin ila sidhani kama ndio hivyo unavyodai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…