Mzawa Nation Member Joined Feb 15, 2017 Posts 50 Reaction score 53 Feb 19, 2017 #1 Hiv kutafsiri Kiswahili kutoka Kiingereza namba inazidishwa kwa tatu? au Kiingereza kinagawanya namba iliyo kwenye Kiswahil kwa tatu? [HASHTAG]#road[/HASHTAG] signs #dereva_ajali_zinaepukika #zingatia_alama_za_barabarani
Hiv kutafsiri Kiswahili kutoka Kiingereza namba inazidishwa kwa tatu? au Kiingereza kinagawanya namba iliyo kwenye Kiswahil kwa tatu? [HASHTAG]#road[/HASHTAG] signs #dereva_ajali_zinaepukika #zingatia_alama_za_barabarani
Daddo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 1,435 Reaction score 1,025 Feb 19, 2017 #2 We mchochezi tu najua
N nderingosha JF-Expert Member Joined Mar 20, 2011 Posts 4,285 Reaction score 3,253 Feb 19, 2017 #3 Mzawa Nation said: Hiv kutafsiri Kiswahili kutoka Kiingereza namba inazidishwa kwa tatu? au Kiingereza kinagawanya namba iliyo kwenye Kiswahil kwa tatu? [HASHTAG]#road[/HASHTAG] signs #dereva_ajali_zinaepukika #zingatia_alama_za_barabarani Click to expand... ..ndio barabara za mkulu hizi...alizopiga nazo kampeni...na kushinda...LOL...
Mzawa Nation said: Hiv kutafsiri Kiswahili kutoka Kiingereza namba inazidishwa kwa tatu? au Kiingereza kinagawanya namba iliyo kwenye Kiswahil kwa tatu? [HASHTAG]#road[/HASHTAG] signs #dereva_ajali_zinaepukika #zingatia_alama_za_barabarani Click to expand... ..ndio barabara za mkulu hizi...alizopiga nazo kampeni...na kushinda...LOL...
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,200 Feb 19, 2017 #5 Aya sasa wale wa PCB na PCM na wenzenu onyeshenyi mauwezo
DR. MWAKABANJE JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 1,986 Reaction score 3,150 Feb 19, 2017 #6 hao na yule mkalimani wa watalii wote kolokoloni!
Mzawa Nation Member Joined Feb 15, 2017 Posts 50 Reaction score 53 Feb 19, 2017 Thread starter #7 Daddo said: We mchochezi tu najua Click to expand... Mkuu me nataka kujua cna maana ya uchochezi mzee
Daddo said: We mchochezi tu najua Click to expand... Mkuu me nataka kujua cna maana ya uchochezi mzee
accused JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,496 Reaction score 2,750 Feb 20, 2017 #8 Wewe hujaelewaaaa, Round abt kwa kingereza inakua karibu sana ndo maana mita mia. Ukiisemea kwa kiswahili inakua ndefu kama kiswahili kilivyo. Hapo mzungu anaeendesha atawahi kuikuta kabla ya mswahili. No Wonder PHD Holder can not speak English......
Wewe hujaelewaaaa, Round abt kwa kingereza inakua karibu sana ndo maana mita mia. Ukiisemea kwa kiswahili inakua ndefu kama kiswahili kilivyo. Hapo mzungu anaeendesha atawahi kuikuta kabla ya mswahili. No Wonder PHD Holder can not speak English......
accused JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,496 Reaction score 2,750 Feb 20, 2017 #9 Wewe hujaelewaaaa, Round abt kwa kingereza inakua karibu sana ndo maana mita mia. Ukiisemea kwa kiswahili inakua ndefu kama kiswahili kilivyo. Hapo mzungu anaeendesha atawahi kuikuta kabla ya mswahili. No Wonder PHD Holder can not speak English......
Wewe hujaelewaaaa, Round abt kwa kingereza inakua karibu sana ndo maana mita mia. Ukiisemea kwa kiswahili inakua ndefu kama kiswahili kilivyo. Hapo mzungu anaeendesha atawahi kuikuta kabla ya mswahili. No Wonder PHD Holder can not speak English......