njia rahisi ya kuupdate drivers ni kupitia website ya manufacturer wa hardware husika. kwa mfano kama kompyuta yako ni Dell basi nenda kwenye tovuti ya dell na utapata driver unayoitafuta. Njia nyingine ni kuupdate kwa kutumia Device manager kwenye computer za Windows