Ni hoja ndani ya hoja, mimi ukiniuliza kwa nini sijawahi kujiunga Twitter nitakujibu na ukiniuliza pia hapa JF kwa nini sipo active jukwaa la siasa nitakujibu pia.
Ni hoja ndani ya hoja, mimi ukiniuliza kwa nini sijawahi kujiunga Twitter nitakujibu na ukiniuliza pia hapa JF kwa nini sipo active jukwaa la siasa nitakujibu pia.
Siku Zote matatizo yanaanza pale watu wana misuse vitu kwa mfano siku hizi Facebook imekuwa sehemu ya kujitafutia umarufu ila ukilike page kama hiZi https://www.facebook.com/nevergiveuptz les Brown na addicted2success hautafikiria kujitoa