sadati audax
Member
- Aug 24, 2017
- 17
- 2
Nilichaguliwa udom first selection nikiwa kwenye group la multiple selection. Sa nkapigiw na admision oficer wa udom akasem kama nataka kwenda udom nimwambie aconfirm, nkamwambia aconfirm na mm nkaingia kwenye account yangu nikaconfirm lakn jana naangalia majina ya waliofanikiwa kuconfirm udom hata jina langu hamna, nifanyeje jaman maana wao nawapigia bado sijapata msaada