Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 877
- 981
Asante kwa ushauri wako mkuuPole teacher.
Usipende kuwaza watu wanakuonaje kwa jinsi ulivyo usoni. Kubaliana na hali hiyo wakati unaendelea kutafuta ufumbuzi.
Watakuja wajuzi wakujuze..
Poa nimekupmNinayo mafuta, scrub na sabuni zilizotengenezwa kwa mimea asili, zinaondoa chunusi, mikunjo , kulainisha ngozi na kuondoa mafuta kama una mafuta mengi. kama upo tayari nicheck.
Wapi naweza kuipata na inaitwaje kwa majina?tafuta hyo seti naamin itakusaidia coz nilikuwa na chunusi kama majipu now sina inauzwa laki tatu
Asante ...unamaanisha Liwa soap?hata usihangaike sana... tafuta manjano au liwa changanya na maziwa mgando na ufanye scrub... just for less than a week utaona tofauti
Asante sana mkuu...nitafanyia kaziPole Teacher.
Katika umri wako wa miaka 21 chunusi ni jambo la kawaida.Litapungua kadiri unavyozidi kukua.
Chunusi ni matokeo ya mafuta mengi usoni na bacteria aitwaye Propionibacterium acne.
Nakushauri yafuatayo.
1.Acha kabisa kutumia betamethasone creme au creme yoyote yenye steroid.Zina madhara ya kuzeesha ngozi yako.
2.Benzol peroxide au Retin A creme ni dawa salama za kupaka kwa chunusi.Zinaweza kupungua nguvu baada ya kutumia muda mrefu.Hivyo unaweza ukawa unadalisha badilisha.Mfano mwezi huu unatumia benzoyl peroxide mwezi ujao unatumia retin A creme.
3.Penda kunawa uso mara kwa mara kwa sabuni ya kawaida kupunguza mafuta usoni.
4.Kwa chunusi sugu unaweza kumeza dozi ndogo ya antibiotic mfano doxycline 100mg kutwa mara moja kwa miezi mitatu ili kuzuia bacteria kuongezeka.
5.Pia unaweza kutumia 3%salicylic acid creme. asubuhi na jioni ili kuondoa makovu.Bei yake ni kama shs 3000.
liwa unga.Asante ...unamaanisha Liwa soap?
OK asante sanaliwa unga.
kiasi gani mkuuNinayo mafuta, scrub na sabuni zilizotengenezwa kwa mimea asili, zinaondoa chunusi, mikunjo , kulainisha ngozi na kuondoa mafuta kama una mafuta mengi. kama upo tayari nicheck.