HTC isiyotumia sim card most likely ni CDMA hizo simu badala ya ku-unlock unatakiwa kuflushi ila sijui utatumia kwenye network ipi maake nyingi ni GSM. Shida ya CDMA ukiziflashi km ilikuwa ni ya Sprint(CDMA) haiwezi kufanya kazi Verizon(CDMA) Ila sijui kwa hapo Dar.