Naomba msaaada kuhusu kuhama chuo

Naomba msaaada kuhusu kuhama chuo

allykisula

Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
34
Reaction score
17
Wakuu habari ya jioni mi naomba msaaada kuhusu kuhama chuo pamoja na kozi uliyopangiwa kutoka private kwenda private je inawezekana kwa bachelor degree ???na kama ndivyo taratibu gani naweza kufuata ili kukamilisha muamala huo naombeni mnisaidie wapendwa.ahsante
 
Subiri TCU watatoa muda wa kufanya transfer online. Utatakiwa kulipia...mwaka jana ilikuwa ni 30000/=. Mwaka huu sielewi. Ukishalipia ndipo CAS yako itakuruhusu kubadili chuo na program. Ila kwa program wanaweka zile ambazo bado hazijajaa. Utapewa nafasi tatu.

Ukishachagua utasubiri kama wiki au zaidi. Selection zitatoka. Utaangalia kujua umechaguliwa wapi. Ila kama ni mtegemea mkopo utasuffer kama miezi mitatu hivi bila boom wala ada. Lakini baada ya hapo utakula rahaaa... sio raha kivilee...ni msoto wa kufidia vipindi ambavyo wenzio walisoma ukiwa bado unahangaikia uhamisho wako.

Ukitaka maelezo zaidi ni PM.
 
Ahsante brother nimekupm
 
inawezekana sana sema kwa seimester ya kwanza kwa utakapokuwa umekwenda boom mpaka baada ya miezi mitatu so mfukoni kwako tu japo utakuja lipwa yote wait university transfer for some days
 
Back
Top Bottom