Mchafukoga
Member
- May 25, 2013
- 38
- 3
Analiwa....concluded!!!
Mchafu kuoga na umri gani?Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao ya posa. Kuna mambo ananifanyia nikimpgia sim, mara nipo na mama, nipo church, nitakupigia baadae kidogo, nmelala na shangazi. Hivi kweli nikimuoa atanifaa huyu?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao ya posa. Kuna mambo ananifanyia nikimpgia sim, mara nipo na mama, nipo church, nitakupigia baadae kidogo, nmelala na shangazi. Hivi kweli nikimuoa atanifaa huyu?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
wewe jamaa niaje.. yaan jibaba 30yrz unashndwa kufanya maamuz magumu..? mimi nlfikr nkajamaa 21-24....
Hili ni swali au swari?Analiwa na nani labda????@@&
Analiwa na nani labda????@@&