kwa application za sasa hivi zilivyo huwa hawafikirii simu ambazo internal memory yake ni ndogo hivyo inasababishaa usumbufu, nakushauri kuweka application chache ili free space iwe ya kutosha pia mara kwa mara clear cache. kiufupi ni usumbufu lkn kuepuka hilo ni kununua simu yenye space ya kutosha (internal Memory)