Naomba mnisaidie kupata tempo

Naomba mnisaidie kupata tempo

Unkwn

Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
36
Reaction score
3
waungwana habari zenu, poleni pia namajukumu yakila siku. mm nimwanafunzi ninayesoma diploma in law nipo likizo takribani mwezi1 tutakapofungua ndyo itakuwa semester yangu yamwisho ..yani nitakuwa ninaenda malizia kozi yangu. waheshimiwa nawaungwana nimekwama kupata ada nitakayotakiwa kulipa ili niweze malizia kozi yangu. ninaomba wote wenye mapenzi mema waweze nisaidia kupata kaziyatempo ninaahdi kuwa mchapa kazi namwaminifu. ninawashukuru sana mbarikiwe
 
Sema chuo unachosoma,pia na ada ni bei gani unadaiwa,hiyo itasaidia mkuu.
Mana kama mie nikisaidiaga huwa nampa anachotaka yani kama chakula nakulipia chakula ila hela mkononi.

Pia hongera pigana sana mkuu usife moyo.muombe mungu sana atakufungulia njia,anapofunga huu anakuwa kuna mwingine amefungua uone na huku ukipata fundisho practically
 
mheshiwa chuo ninachosoma ni chuo cha uongozi wamahakama lushoto.. ada nayotakiwa kulipa ni 405,500. semister inaanza tarehe 16 mwezi wa3 waungwana naombeni mnisaidie niweze malzia kozi yangu
 
pole sana ndugu, yani daa Mungu akuwezeshe sana kupata hiyo ada, ila jua kazi, tempo + voluntieer ni ngumu sana. so jitoe hata kwenda kule mjini kwenye maghorofa yanayojengwa ukapige kazi, mi nina rafiki yangu ni binti anajisomesha chuo huwa anaenda kufanya kazi huko yani inauma ila no way out mkuu nenda kapige kazi hata ukipata kidogo Mungu atasaidia utapata cha kuongezea. ila ukisubri upewe tempo itakula kwako, japo unaweza bahatisha.

kilaRecho mkuu Mungu akufanikishe.
 
nikweli kabisa ushauri ulionipa niwamaana sana mheshimiwa, tangu nimefika nimekuwa nikijaribu kuzungukazunguka walau nipate lakn bdo cjafanikiwa .ninashukuru sana ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom