Tuma 10,000 ya kujiunga halafu kila mwezi utakuwa unapokea laki 1. Ila ukitoa zaidi ya kujiunga na dau lako pia litaongezeka la kupokea mwisho wa mwezi. 😜
Kumbuka umeingia katika himaya ya matajiri, warembo, wasomi. Hapa JF hakuna mtu asiyekuwa na degree, hakuna mpanda daladala wote tunamiliki ndinga za hatari, hakuna fukara humu wote ni ma don, kila demu pisikali.
Kwa kifupi karibu paradiso ya Jamii Forum sehemu pekee yenye wajuaji wa kila jambo.