K kunyenge Member Joined May 26, 2022 Posts 60 Reaction score 77 Jun 1, 2022 #1 Habarini wote , me ni mgeni humus ndani ila nimekuwa nikufiatilia madam mbalimbali , nimejiunga rasmi kwa kuwa napata madini ya maana humus. Kwa ufupi naipenda mno Jamii forum. Kwani ninajifunza mengi, kwa waliotangulia humu. Naomba mnipokee ...
Habarini wote , me ni mgeni humus ndani ila nimekuwa nikufiatilia madam mbalimbali , nimejiunga rasmi kwa kuwa napata madini ya maana humus. Kwa ufupi naipenda mno Jamii forum. Kwani ninajifunza mengi, kwa waliotangulia humu. Naomba mnipokee ...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,899 Reaction score 858,789 Jun 1, 2022 #2 Karibu bila shaka
K kunyenge Member Joined May 26, 2022 Posts 60 Reaction score 77 Jun 1, 2022 Thread starter #3 Ahsante sana bro, napenda sana mada zako, kwani nimekuwa nikifatilia sana. Ki ukweli wewe ni mmoja umenishawishi kuingia humu ili niweze hata kukoment. Na umekuwa mtu wa kwanza kunikaribisha ubarikiwe mno..
Ahsante sana bro, napenda sana mada zako, kwani nimekuwa nikifatilia sana. Ki ukweli wewe ni mmoja umenishawishi kuingia humu ili niweze hata kukoment. Na umekuwa mtu wa kwanza kunikaribisha ubarikiwe mno..
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,899 Reaction score 858,789 Jun 1, 2022 #4 kunyenge said: Ahsante sana bro, napenda sana mada zako, kwani nimekuwa nikifatilia sana. Ki ukweli wewe ni mmoja umenishawishi kuingia humu ili niweze hata kukoment. Na umekuwa mtu wa kwanza kunikaribisha ubarikiwe mno.. Click to expand... [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534] karibu tena na jisikie uko nyumba yenye kisima cha mengi
kunyenge said: Ahsante sana bro, napenda sana mada zako, kwani nimekuwa nikifatilia sana. Ki ukweli wewe ni mmoja umenishawishi kuingia humu ili niweze hata kukoment. Na umekuwa mtu wa kwanza kunikaribisha ubarikiwe mno.. Click to expand... [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534] karibu tena na jisikie uko nyumba yenye kisima cha mengi
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 20,177 Reaction score 37,723 Jun 1, 2022 #5 Karibu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,767 Jun 1, 2022 #6 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,753 Reaction score 109,862 Jun 1, 2022 #7 Karibu sana JamiiForums...
A Anti-monitor JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 518 Reaction score 794 Jun 2, 2022 #8 Welcome in mwenetu