MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
WanaMMU-JF..........habari za weekend?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa katika mahusiano na mapenzi kuna aina mbili za wanawake
1. Wale wenye kismat....yaani bahati flani kiasi kwamba akiwa kwenye mahusiano na mkaka basi huyo kaka mambo yake yanakuwa tambarare........
2. Wale ambao huwa wanakuwa kama wana nyota mbaya (wenyewe huita gundu???) ambao wakiwa kwenye uhusiano basi wenzi wao huwa na wakati mgumu sana kwani hakuna kinachofanikiwa be it kikazi, biashara yaani kimaisha kwa ujumla!!...
(Sasa sijui in yale ya Hayati Sheikh Yahya!)
So naomba msaada wa kujua yafuatayo
1. Je kuna ukweli wowote katika hili? na
2. Kama ni kweli, je na upande wa wanaume nao wapo wenye kismati na wasio nacho?
ni hayo tu, aksanteni
Binafsi sidhani kama kuna ukweli wowote katika hayo. Ni mambo ya usasili tu. Labda aje mtu anivunjie kwa kinagaubaga tena kwa kutumia kanuni za kisayansi ndipo nitaamini kuwa ni kweli.
Aksante NN, kuna rafiki yangu alikuwa analalamika kuwa tangu ame,pata huyo wifi mpya yaani pesa imekuwa ngumu sana yaanio dili zote zimeota mbawa.............hali si kama zamani alipokuwa na EX wake na alikuwa anajustify haya kwa tafsiri hii.Binafsi sidhani kama kuna ukweli wowote katika hayo. Ni mambo ya usasili tu. Labda aje mtu anivunjie kwa kinagaubaga tena kwa kutumia kanuni za kisayansi ndipo nitaamini kuwa ni kweli.
Umeniwahi hapo dadangu MJ1.
Ngoja wafuasi wake wakatupatie majibu..For me nadunda kwa sababu nature imeniweka hapa nilipo na si kwa sababu bibi ana nyota nzuri au mbaya!
Aksante NN, kuna rafiki yangu alikuwa analalamika kuwa tangu ame,pata huyo wifi mpya yaani pesa imekuwa ngumu sana yaanio dili zote zimeota mbawa.............hali si kama zamani alipokuwa na EX wake na alikuwa anajustify haya kwa tafsiri hii.
Pamoja na yeye nilishasikia the same mara nyingi tu....ssa hata mie connection siioni. Ndo nikasema pengine kule kwenye kisima cha maarifa nipata jibu

Aksante Babu kwa kunijuza. Kusema ukweli nilikuwa ninalo siku nyingi kiasi kwamba nikawa natamani kweli kujijua niko kundi gani.........karibu niaze kuwauliza MaExes na Macurrents kama nina gundu au kismet.......lol
Nadhani inawezekana kukawa na ukweli ndani yake japo hamna maelezo ya kisayansi kama ndugu yetu NN anavyotaka kufahamishwa.
Nimewahi kuambiwa mara kadhaa na sio lazima kwenye mapenzi....hata kwa marafiki hua inatokea!!:whistle:
Babygal.......nawe ulishasikia eh?? Yaani mie hadi nikawa nawaza kama ni kweli je hakuna njia ya kuweza kudetect mapema ili umpate mwenye kismet tu?Nadhani inawezekana kukawa na ukweli ndani yake japo hamna maelezo ya kisayansi kama ndugu yetu NN anavyotaka kufahamishwa.
Nimewahi kuambiwa mara kadhaa na sio lazima kwenye mapenzi....hata kwa marafiki hua inatokea!!:whistle:
Lizzy,
Kama hakuna maelezo ya kisayasa basi hilo jambo halipo!
Nadhani inawezekana kukawa na ukweli ndani yake japo hamna maelezo ya kisayansi kama ndugu yetu NN anavyotaka kufahamishwa.
Nimewahi kuambiwa mara kadhaa na sio lazima kwenye mapenzi....hata kwa marafiki hua inatokea!!:whistle:
sio kila kitu kina maelezo ya kisayansi @DC
kamanda
i want to say siamini... lakini nimetrack back 12 years, basi naamini
and i can witness this anywhere......... no sheikh yahya though, just coincidence basi!!