Naomba mnijuze, nina jiwe hili la gram 58

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,505
13,553
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni
 
Attachments

  • 1430295309131.jpg
    1430295309131.jpg
    48.4 KB · Views: 1,121
  • 1430295392299.jpg
    1430295392299.jpg
    49.7 KB · Views: 1,025
picha ya kwanza ni likiwa karibu,picha ya pili ni kwa mbali linakuwa kama opal hivi
 
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni

Hilo emerald mkuu..sema hupimwa kwa carats(ct)..
http://m.israel-diamonds.com/search/emeralds/
 
sasa kama ndo kazi yako why hujui linauzwaje na linauzwa wapi???
au unaturingishia tu?
kulingishia huwa kunaanza na kujuana wengi humu hatujuani ,mawe mengine nayajua ndo mana sijayaulizia hili silijui ndo maana nimeomba ushaur we ka hulijui uache tu ili wanaojua wanijibu ninufaike
 
.. The only tabia ya Madini especially ya yenye shape ya duara mara nyingi hutokaga mtoni, ndomana ukiona Madini yatokayo kwenye mwamba yanakuwa na angles, na madini yatokayo mtoni ni round shaped.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hilo linaweza kuwa green garnet au emarald ...yote hayo ni mawe ya bei ndefu mnoo... cha mxingi tafuta sehem upime hardness ndio itakupa ukweli wa jiwe ....ukishindwa ni pm
 
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo sana ila mwanga unapita sana na nindeep greenukiliangalia kwa mbali linaonekana kama la rangi nyingi kwa ukaribu ni green nimepiga kwa mionekano yote,asanteni
hilo halina dhamani,kama siyo volcano glass, basi ni mchemsho wa chupa ya sprite. my conclusions are based on its luster and clarity
 
mimi mtu mzima mwenzio nimekuambia limetoka kwenye mwamba na si moja ninayo matatu
 
Back
Top Bottom