naomba mnifahamishe tafadhali

mtu anaposema certified copies of certificates anakua anamaana gan?!
Unatakiwa uvipeleke mahakamani Hakimu anadhibitisha kuwa ni vyako kwa saini. Nenda mahakamani fikia reception waambie nimekuja kucertify vyeti watakuelewa.
 
Unatakiwa uvipeleke mahakamani Hakimu anadhibitisha kuwa ni vyako kwa saini. Nenda mahakamani fikia reception waambie nimekuja kucertify vyeti watakuelewa.


Ila usiende mikono mitupu na vyeti vyako tu.
 
Kopi za Vyeti vyako bana dah!

unaenda na vyeti vyako kopy pamoja na original Mahakama za Wilaya yoyote mfano kisutu, ilala, temeke au kinondoni kwa hakimu yeye anacheck kama ile kopy imetokana na ile original kweli ili aweke muhuri kuwa imetokana na true copy sio ya kufoji ukienda bila original atashindwa kuweka ule muhuri wa true copy kwa vile original hajaiona. Pale ni kushuhudia tu kwamba original ipo. asante.
 

Na si mahakamani tu...vilevile unaweza ukaenda kwa mawakili wa kujitegemea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…