Naomba mchanganuo wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza Toothpick

Malighafi ni mambazi yanayotokana baada ya kuchana mbao.au mianzi .kiwanda bila jengo ni Tzs 80.000.000.kama unataka technical proposal na bei na idadi ya mashine nnazo ni PM
 
Hakikisha unatengeneza toothpicks za bamboo trees ndo utapambana na ushindani wa mchina
Kwa Tanzania Bamboo ni shida kuzipata za kutosheleza production.labda awe na shamba lake mwenyewe.Malighafi ambayo ipo ya kutosha ni mabanzi ya mbao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…