Goodmorning;
Nimefikiri sana ni zawadi gani nitampa mpenzi wangu na sijapata jibu
Ni zawadi ya kawaida tu nzuri and simple
Ni msichana anaependa urembo and she is not a middle class or lower class,so she is high class.
Najaribu kufikiri sijapata jibu ni zawadi gani mabinti wanapenda
Naomba wadau mnipe walau idea chache za Gift ambazo wapenzi wanapenda
Sitaki kutumia zaidi ya laki 2
Mwee....mweeh high class not more than laki 2. Nilifikiri ka-Raum au Spacio kangefaa. Ok, do research anapendelea nn? Kuna designer make-ups, perfumes au kind of brazilian wigs
mi Niliapewa Siri Na Evelyn Salt
zawadi Itakayomfurahisha Ni Gari!...full Stop.
Tized made my day...eti katiba...doubting if she'l like itUnaonaje mkuu ukamnunulia kopi ya Rasimu ya katiba? na ukiwa na hela umpe na katiba ya sasa?. That will be ideal.
Zawadi simple simple: Unyunyu wa maana, mkufu(kwa anayependa), hereni za maana, Saa ya mkononi ya maana, nguo nguo hizi, viatu vya maana, Outing ya maana, Simu (kama kuna toteo pendwa au aina unayotaka atumie).... hapa sijaongelea vitu vidogo dogo hivi ambavyo ni vya kila siku tu.
Wanawake wanathamini sana zawadi bila kujali gharama yake, japo usipokuwa makini kuna zawadi ukinunua unakua unajichoresha au kujishushia hadhi sana sana kwenye aina ya saa, neckless/hereni, unyunyu, viatu, na nguo. So ni muhimu pia kuzingatia level ya exposure ya huyo muhusika na hadhi yake.
Sitaki kutumia zaidi ya laki 2
Aaah......basi tena......mi nilikuwa nshawaza mambo ya limende limoja ligumu.........wayiiii.......laki mbili mnunulie chupa ya Glenmorangue.........
Aaah......basi tena......mi nilikuwa nshawaza mambo ya limende limoja ligumu.........wayiiii.......laki mbili mnunulie chupa ya Glenmorangue.........