Je, hii ni dalili ya kuwa na Presha?

Naxria abdalla

Senior Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
173
Reaction score
306
Naomba nielewesheni pole pole bila kunigombeza kwanini ndani ya siku 4 presha yangu imebadilika hivi? Je, hapa ndo mtu anakuwa tayari ni muhanga wa presha?

Sijaonana na daktari nimepima tu kujua hali yangu kuna vidalili ziliniogopeshanifanyeje niishushe ili nirudi kawaida

 
Na mimi naomba nije unipime (kama ni nesi wa kike)
 
Mkuu sometimes hata wenge lina changia kupandisha au kushusha.

wewe chukulia poa after 1 wiki kapime tena, punguza stress na style yako ya maisha ibadilishe ikiwa ni tight sana.
Yah upo sahihi mkuu

Pia kuna ile unapima presha ukiwa umetoka Kufanya kazi iliyokuchosha sana, Au una furaha sana, hii lazima ikuletee majibu tofauti ya presha na ukiwa umetulia tuu.

Ndo mana Hua tunakunywa maji kabla ya kupima ili kupoza mwili.

Hata ww mlivyopasuliwa na Man City ungeenda kupima presha ungeikuta iko juu πŸ˜‚
 
Usiende kuonana na daktari.. wewe ishi maisha yako kama hujui lolote.. usiwe na mawazo zingatia mlo sahihi alafu relax uishi na watu vizuri.. ukionana na daktari utaanzishwa clinic na baada ya hapo utajikuta unashindiliwa madawa bila mpangilio na mwishowe kuingizwa kwenye vitabu vya kumbukumbu
 
Sawa sawa, hata ukila nyeto bila kula kisha ukaenda kupima lazima uone giza dogo πŸ˜…
 
Hakuna presha kwa familia,kuwaza nawaza ila sio kuwaza kama ivo ulivyokusudia kwamba jambo linanipa stress sana hapana,30
Okey,
1. Fanya follow up angalu wiki mbili

2. Kapime BMI ( uone kama una overweight au Obesity)

3. Usitumie dawa yeyote ile kwa sasa, maana ukishaaza hizo dawa itakuwa kama umeboost pressure na utakuwa mtumwa wa hizo dawa mpaka kufa kwako.

4. Punguza ulaji mwingi wa chumvi kwa kipindi hiki.

5. Relax maisha yapo tu.... πŸ˜‹ πŸ˜‹ πŸ˜‹ πŸ˜‹
 
Ahsante
 
Apo kwenye mlo sahihi mm ndio nataka sasa naitaji ivyo vyakula vuzuri na vibaya ili niweze kuvipanga
 
Apo kwenye mlo sahihi mm ndio nataka sasa naitaji ivyo vyakula vuzuri na vibaya ili niweze kuvipanga
Kula mboga za majani kwa wingi sana.. punguza chumvi na sukari ikibidi achana nazo iwe kutumia kwa dharura sana, badala ya chumvi tumia pilipili na sukari tumia asali.. kunywa maji mengi sana na epuka vyakula vya wanga na mafuta.. kama ni ugali mboga za majani ziwe nyingi sana ugali kidogo wali achana nao kabisa.. fanya hivi kwa miezi miwili alafu nenda kapime.
 
BMI ndio kipimo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…