(((37 x 30.45) + (40 x 2)) / 70) x 4 = 68 pcs
Andaa Bati 68 za futi 10, Kama utatumia bati za kupima, nunua bati 34pc za futi 18
Mnaohitaji kufanyiwa makadirio ya ujenzi, tuwasilianeni
Assumption
- Upana wa bati 80cm+
- Urefu wa bati 300cm or 3m
- Overhang 40cm pande zote
- Mgongo wa tembo (mchoro wa paa haupo)