Chale david
Member
- Jun 12, 2023
- 51
- 27
Sawa, ebu jaribu kueleza hata kidogo nini hasa unataka kufahamu kuhusu HR.Naomben kujuzwa kuhusu human resource management
Kabla haujashauriwa, nivyema kwanza ungesema wewe unapenda kuwa nani hapo baadae.Naombe munieleweshe kuhusu hiya kozi sina idea nayo ila nmepata hiv Geo C kisw C bio C hist C eng D phy D chem D civ D math F naombe ushaur niende kozi ya human resource management au nifanyaje maana nimepangiwa uko
Mkuu mim kama mim nlikuwa na ndoto ya kwenda advance nkasome hge lakn sasa hp nmezngua kidsKabla haujashauriwa, nivyema kwanza ungesema wewe unapenda kua nani hapo baadae. Hii itarahisisha wazee hapa ndani kukushauri kutokana na ufaulu wako na hata utapata ufafanuzi mzuri kwa kada mbali mbali na itakurahisishia kufanya uchaguzi sahihi wa vyuo pia.
Na Kati ya accountancy na hr ipi boraKabla haujashauriwa, nivyema kwanza ungesema wewe unapenda kua nani hapo baadae. Hii itarahisisha wazee hapa ndani kukushauri kutokana na ufaulu wako na hata utapata ufafanuzi mzuri kwa kada mbali mbali na itakurahisishia kufanya uchaguzi sahihi wa vyuo pia.
History na Geography si una CC unaweza ukasoma private ama hata Government kama kuna 2nd selection ama appeal za namna yoyote.Mkuu mim kama mim nlikuwa na ndoto ya kwenda advance nkasome hge lakn sasa hp nmezngua kids
Nmepangiwa ya biasharaHistory na Geography si una CC unaweza ukasoma private ama hata Government kama kuna 2nd selection ama appeal za namna yoyote...
Pia kabla haujapata jibu hili, nafikiri wewe ndie ungeanza kusema ulitamani kusoma nini ama kua nani.Na Kati ya accountancy na hr ipi bora
Kama ni ya Biashara Komaa, ila double check kama ni Biashara kweli, ukiwa field ya Biashara Course zote kama Uhasibu, marketing, Enterpreneurship, procurement unaweza somea. Hazitofautiani sana.Nmepangiwa ya biashara
Kama ni ya Biashara Komaa, ila double check kama ni Biashara kweli, ukiwa field ya Biashara Course zote kama Uhasibu, marketing, Enterpreneurship, procurement unaweza somea. Hazitofautiani saAsqntw kak
Kwaiyo ni somee uhasibu au bussness admisKama ni ya Biashara Komaa, ila double check kama ni Biashara kweli, ukiwa field ya Biashara Course zote kama Uhasibu, marketing, Enterpreneurship, procurement unaweza somea. Hazitofautiani sana.