Uzuri sasa hivi ni kwamba polisi hawahitajiki kabisa kwahiyo taarifaza kiintelijensia hazina kazi tena...kwahiyo muda wowote mkiomba mnaruhusiwa tu!
Sure!...kama kwenye maombolezo hakusogea polisi wala mkwe wao, na hali ikawa shwari, unadahni wanatakiwa tena wa nini?Is it true bro?
?wameshindwa hata kumsikiliza baba askofu Laizer
Natoa tamko kwa wakristo na wanachama wenzangu wa CHADEMA
Wanatuambia tuende Mahakamani, huku wakijua hukumu ya kesi itakuwa mwaka 2015. Si mnajua kwa hii katiba bibi mahakimu na majaji wengi ni makada wa ccm?
Hivi kauli ya Wasira aliyoitoa juzi Arusha ndiyo tamko rasmi la serikali kuwa uchaguzi hautarudiwa?
Hawa maaskofu wanao wanajisi watoto wa kiume, kuiba wake za watu hawawezi kusikilizwa na CCM na watanzania lakini kama ninyi wakristo na CHADEMA mnawasikiliza kila la kheri.
wanatuambia tuende mahakamani, huku wakijua hukumu ya kesi itakuwa mwaka 2015. Si mnajua kwa hii katiba bibi mahakimu na majaji wengi ni makada wa ccm?
hivi kauli ya wasira aliyoitoa juzi arusha ndiyo tamko rasmi la serikali kuwa uchaguzi hautarudiwa?
sasa huyu meya feki ataendelea kukaa hotelini mpaka lini?
Wanaendelea kuchezea kodi za watanzania.
Siku tutakapoandamana tukiwa uchi wa nyama ndiyo watajua tumewachoka.