ESPIRIT
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 665
- 524
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 hivi. Siku hizi nimekumbwa na ndoto za ajabu sana.
1. Kuota naongea na mbwa then mbwa anabadilika badilika, badae anakuwa kama mwanamke, halafu ananiomba nimfanye mapenzi, namfanya alafu anafurahi sana, anatamani niendelee
2. Kuota nahutubia watu, anakujua mtu ninayemfahamu anachukua nguo niliyovaa ya juu, nibaki kifua wazi. Namkimbiza simkamati
3.Kuota ndoto ZINAZOFANANA na ya mpenzi wangu. Yaani mimi niliota naenda kufanya mtihani wa somo ambalo sijasoma, nikawa naumia sana kuwa naenda kufeli. Na yeye aliota hivo hivo