masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,376
- 19,262
ambayo haijaaribika.nitatoa ela kidogo
Unataka kuazima au? Kununua au? Kununua kwa kulipa kidogo kidogo au? Uko mkoa gani?ambayo haijaaribika.nitatoa ela kidogo
PichaHp probook 6560b core i5
8gb ram
750gb Hdd
4hrs battery
15.6" display
Lete laki tatu
tzs 300000/=
ya kununia nimenunua kwa mtu ikantesa nikatupaUnataka kuazima au? Kununua au? Kununua kwa kulipa kidogo kidogo au? Uko mkoa gani?
hhahahajaAiseeee fursa hii vipi nami naweza omba kitu ingine kwako
Mimi huwa nakupendaga tuuuuuu!mambo muhenga
kwema
asanteeeeMimi huwa nakupendaga tuuuuuu!
HP Probook 640 G1ambayo haijaaribika.nitatoa ela kidogo
hahahajh mwananzengo mbona hulaliSasa masai unataka kununua au ya bure
Nothing free in this worldhhahahaja
unataka kubadili miamala hahah
shuka kule JW
hahahajh mwananzengo mbona hulali
hahaaha ulivyoniita masai
utafikiri mnavyowaambiaga yerooo
natoa elaNo free lunch in America
tunalinda kijiweHahaha wananzengo huwa hatulali