Mtumbwi uliozama Member Joined Jan 5, 2014 Posts 27 Reaction score 4 Apr 6, 2014 #1 Ivi ni kweli kuna depo ya jwtz itakayoenda mwaka huuu??? Kama kuna mwenye kujua tafadhari naomba msaada wa taarifa
Ivi ni kweli kuna depo ya jwtz itakayoenda mwaka huuu??? Kama kuna mwenye kujua tafadhari naomba msaada wa taarifa
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Apr 6, 2014 #2 Mtumbwi uliozama said: Ivi ni kweli kuna depo ya jwtz itakayoenda mwaka huuu??? Kama kuna mwenye kujua tafadhari naomba msaada wa taarifa Click to expand... Mkuu kila mwaka kuna depo tofauti ni miezi ya kwenda
Mtumbwi uliozama said: Ivi ni kweli kuna depo ya jwtz itakayoenda mwaka huuu??? Kama kuna mwenye kujua tafadhari naomba msaada wa taarifa Click to expand... Mkuu kila mwaka kuna depo tofauti ni miezi ya kwenda
Mtumbwi uliozama Member Joined Jan 5, 2014 Posts 27 Reaction score 4 Apr 6, 2014 Thread starter #3 Okay maana napatwa na mashaka kuna mtu kesha kula salio Advocate Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,791 Apr 6, 2014 #4 Kuna website ya JWTZ ambayo habari zote zinazozohusu Jeshi zinapatikana hivyo tuwe na utamaduni wa kutafuta habari kwenye maeneo husika!
Kuna website ya JWTZ ambayo habari zote zinazozohusu Jeshi zinapatikana hivyo tuwe na utamaduni wa kutafuta habari kwenye maeneo husika!