Hivi wadau kuna kipindi tulisikia kuwa yule jamaa aliyekuwa anaendesha mtandao wa ZE UTAMU uliojizolea umaarufu mkubwa wakati ule alikamatwa na kurejeshwa Bongo ili ashtakiwe, sasa yule jamaa kaishia wapi mbona hatujasikia akifunguliwa mashtaka?
Tatizo la waandishi wetu wa habari ni kutofanya follow up. Jambo likishatoka kwenye headlines basi unakuwa ndiyo mwisho wake. Hakuna investigative reporters wa kufuatilia na kuchokonoa mambo.