Naomba kuuliza

Misunderstood

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
393
Reaction score
896
Je, inawezekana mwanaume katika umri wa late 20's (27,28,29) akaamua kwa akili zake timamu na kwa uamuzi wake kuzaa na mwanamke asiyempenda?

Yaani naamanisha mwanaume katika umri huo amuombe mwanamke azae nae, ilhali hana hisia zozote na huyo mwanamke?

Na navohisi wanaume katika umri huo sio kwamba wanakuwaga na uhitaji sana wa watoto, atleast wale waliofika umri wa 32 na kuendelea.

Je ni nini kitakuwa kimepelekea huyo mwanaume kuchukua maamuzi kama hayo? Au atakuwa anampenda huyo mwanamke? Au wanaume kuanzia umri huo wanakuwa na uhitaji wa mtoto kweli?

Naombeni maoni yenu.
 
Hakika ni juzi hap mm nimevunja mahusiano na binti mmoja koz juuu ya kutompenda na chanzo ni kuhofu nikitia mimba sijui itakuwa veep maan simpend kiukweli
 
Hivi Kwani wanaume huwa wanachagua wanawake wa kuzaa nao pia hata Kama hawana hisia nao kama ilivyo kwa wanawake?
 
Sio kila neno mwanaume akimwambia mwanamke aliyenaye huwa amaanisha, wengi huwa wanajaribu tu kuona uwezo wako wa kufikiri
 
Mwanaume huwa hayuko tayari kuzaa na mtu asiyempenda! Ila mabinti huwa mnalazimisha mnadhani mkitubebea mimba mnatukomoa!! Au mnadhani mkibeba mimba ndo tutawapenda...hatuko hivyo hata siku moja
 
Lolote litakalotokea ustawi isihusishwe kutoa maamuzi mkishakubaliana bhasi myamalize wenyew.

Kuzaa na mtu ni safar nyngine has kwa wanaume siyo kujtegmea tu! Kutegemew na kuwajibika. Ukikubali kumzalia asiyekupenda jiandae kumnyima mtoto uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…