The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Ata wewe unaweza kuchangia mkuuhili swali ni la wanawake zaidi, ngoja niwe mpenzi msomaji
DaahMi kwa kweli sijajua bado
siongezi kitu hapo nisiharibu uhondoMwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Ukiwa na hekima si mama mkwe wala wifi atakayeweza kuvunja ndoa yako.