Kanahiya New Member Joined Jul 10, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Oct 4, 2017 #1 Naulizi kuna alisikia habari yoyote humu juu ya walioomba nafasi za Tuico je wameshaitwa katika usaili mimi ni mmoja wao lakini ni miezi imekatika sina taarifa zozote.
Naulizi kuna alisikia habari yoyote humu juu ya walioomba nafasi za Tuico je wameshaitwa katika usaili mimi ni mmoja wao lakini ni miezi imekatika sina taarifa zozote.
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,216 Reaction score 12,603 Oct 4, 2017 #2 Tafuta mawasiliano na TUICO maana humu watu wapo busy sana na mambo mengine sijui hata kama utapata jibu sahihi humu
Tafuta mawasiliano na TUICO maana humu watu wapo busy sana na mambo mengine sijui hata kama utapata jibu sahihi humu
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Oct 4, 2017 #3 TUICO?? nawamind sana wanakula michango halafu hawana mchango wowote
likandambwasada JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 5,402 Reaction score 6,085 Oct 4, 2017 #4 WAMESHAAJIRI MKUU. BONGOLAND HAKUNA VYAMA VYA WAFANYAKAZI
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Oct 4, 2017 #5 tuico nilisikia waliita mwezi wa 8.pole sana kwa kupishana na gari la mshahara