Ocenicbay Senior Member Joined Apr 9, 2017 Posts 103 Reaction score 121 Jun 20, 2017 #1 Habari wakuu na poleni na majukumu,Kwa sisi watumishi wa umma tuliahidiwa increments mwezi ujao.Je,na huu uhakiki wa NIDA imekaaje sio ndio sababu ya kutukuwepo haki hiyo.!!Unakaribishwa kwa mchango
Habari wakuu na poleni na majukumu,Kwa sisi watumishi wa umma tuliahidiwa increments mwezi ujao.Je,na huu uhakiki wa NIDA imekaaje sio ndio sababu ya kutukuwepo haki hiyo.!!Unakaribishwa kwa mchango
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,120 Reaction score 12,149 Jun 20, 2017 #2 Kuanzia July mosi tutaanza kuwasomeaha za Kichina. Chama mbele kwa mbele.