Kichwa cha habari hapo juu cha husika Wakuu hivi kuna wale wenzetu walemavu wanakua kama wamevimba Mgongoni inakua kama kibwongo hivi napenda kujua hivi wanaweza wakabeba mimba na kujifungua vizuri tu bila matatizo?
Mwenye uelewa vizuri naomba basi msaada wa kunielewesha.
Unataka kuoa mwanamke wa aina hiyo? Hongera sana. Wanawake wa aina hiyo wana adabu na heshima kwa wenzi wao. Kuhusu hilo la uzazi wala usiwe na shaka. Yupo mmoja namfahamu wa aina hiyo na sasa ana watoto wanne

Duh mkuu kuna huyo mmoja bhna nmempata dah nmempata mpaka namuogopa mfupi dah nkawanajisemea duh asije akanfia bure yeye ni mfupi mpaka nkawa namuogopa