Naomba kusaidiwa katika hili,

Joined
Oct 26, 2012
Posts
93
Reaction score
22
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu wam JF.
awali ya yote napenda kumshukuru mungu kwa kunijalia afya njema ni kwa neema zake na si ujanja wangu.
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28,na kwa bahati nzuri mungu amenijali nimehitimu shaada yangu ya kwanza katika chuo kikuu cha dar es salaam hivi juzi tu.safari yangu ya masomo ilikuwa na changamoto nyingi sana ila mungu amenisaidia nimemaliza salama.
nilipokuwa mwaka wa pili niliamua kuishi mtahani rasmi na kuexperience maisha na hadi naandika uzi huu bado niko mtahani.

Dhumuni hasa la kuandika ujumbe huu kwenu wa JF ni kuomba ushauri na hata pia msaada kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia.kwa kuwa mm ni mtoto wa kiume niko tayari kufanya kazi yeyote hapa mjini ili niweze kuishi.
najua kuna watu wanaweza nisaidia,kwa kifupi ninauwezo wa kufanya kazi zifuatazo hapa mjini.

1.kufundisha sekondari au vyuo vya ualimu kwa sababu nimesomea bachelor of education in psychology.
2.kusimamia project mbalimbali iwe mjini au kijijini,nina knowledge ya project planning and management niliyoipata chuoni.

3.kufanya kazi katika NGO's ambazo zinajihusisha na maswala ya kijami, kama vile maswala ya jinsia,ukimwi nk

4 kufanya kazi ya counselling hususan katika mashule,ya sekondari na hata msingi,pia kutoa ushauri kuhusu maswala ya ujasilia mali,nina ujuzi huo niliyo upata chuon

Hizo ni baadhi ya kazi ambazo najiweza nazo,ila pia sichagui kazi. Ombi langu kwenu ndugu zangu kwa mtu yeyote yule mwenye nafasi moja wapo ya hizo anisaidie kijana mwenzenu,tatizo linalonisumbua ni kwamba sina connection kwa sababu ya familia niliyotokea na maisha niliyokulia.

pia nipo tayari hata kujitolea kwa sababu nataka kutumia kile nilichonacho kwa faida ya jamii ya kitanzania.
Mawasiliano yangu ni 0753756956.
 
Safi sana !! Kuna kazi ya kuweka jiji safi kuokota chupa za maji na chuma chakavu
 
Safi sana !! Kuna kazi ya kuweka jiji safi kuokota chupa za maji na chuma chakavu

albert esteen aliwahi kisema,usiseme mtu ana hekima,suburi hadi aongee ndio utajua km anahekima......ID yako na ulichokiandika havitofautiani sna
 
Reactions: BIR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…