Naomba kusaidiwa jinsi ya kutafuta cm iliyo ibiwa

Mar 10, 2014
13
0
Naomba kujuzwa nimeibiwa sim tatu moja ya Huawei Y300, Nokia X2 na Nokia Asha 320. Je nifanyeje ili nizipate maana nasikiaga tu kwamba hizi smartphone ikiibiwa unaweza ukaitafuta. Naomba kuwakilisha waungwana wenzangu naitaji majibu mazuri kwa wana jf wenye kuelewa.
 
Zee la mgundini, tafuta mtu mwenye simu ambaye yupo kwenye watsap na wewe kama ulikua kwenye watsap unaweza kuirudisha.
 
Zee la mgundini, tafuta mtu mwenye simu ambaye yupo kwenye watsap na wewe kama ulikua kwenye watsap unaweza kuirudisha.

Maelezo zaidi tafadhali............................................................................
........

..

.
!
 
Uliibiwa kwenye mazingira gani mkuu. Isiwe ikawa ulimualika changu kwenye noah halafu waqt unaweweseka akaondoka nazo jumla. eleza mazingira utajuzwa zilipo.
 
Kuna msichana mmoja ambaye anakaa morogoro kilosa alikuja kunitembelea wakati wa kuondoka nilimsindikiza mpaka ubungo sasa wakati narudi ndiyo nika gundua simu zangu azipo kwenye gari nikahisi niliziacha mjengoni kufika mjengoni sijaziona, ikabidi nitumie sim ya mdogo wangu nikampigia akaniambia mbona uliongea na mtu wakati 2po njiani ila yeye ajachukua cm, ndiyo maana naulizia nifanyeje ili kujua sim hipo maeneo gani au inawekwa lain gani. Naombeni msaada wenu nataka nimkomeshe aliyechukua kuliko kuhisi.
 
Hahahaha, bategereza naona umemuwahi huyu mtu, amefanya importation, dem akafanya exportation. Ngoma droo hiyo! Kazi kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Kuna msichana mmoja ambaye anakaa morogoro kilosa alikuja kunitembelea wakati wa kuondoka nilimsindikiza mpaka ubungo sasa wakati narudi ndiyo nika gundua simu zangu azipo kwenye gari nikahisi niliziacha mjengoni kufika mjengoni sijaziona, ikabidi nitumie sim ya mdogo wangu nikampigia akaniambia mbona uliongea na mtu wakati 2po njiani ila yeye ajachukua cm, ndiyo maana naulizia nifanyeje ili kujua sim hipo maeneo gani au inawekwa lain gani. Naombeni msaada wenu nataka nimkomeshe aliyechukua kuliko kuhisi.

Inaonekana ulimkopa huyu mdada nae akajilipa kwa simu
 
Naomba kujuzwa nimeibiwa sim tatu moja ya Huawei Y300, Nokia X2 na Nokia Asha 320. Je nifanyeje ili nizipate maana nasikiaga tu kwamba hizi smartphone ikiibiwa unaweza ukaitafuta. Naomba kuwakilisha waungwana wenzangu naitaji majibu mazuri kwa wana jf wenye kuelewa.

Ni Rahisi Sana Cha Kufanya Nenda Maeneo Ya Mwenge Stendi pale ilipo Sheli Ya PUMA au Nenda Mazense au Mtongani au Kawe na Hapo Utawakuta tu Wataalam Ambao WATAKUFUNDISHA VIZURI SANA HILO SOMO UNALOLIPENDA na Ili Kazi Kwako Iwe Rahisi Unaweza Ukaenda Tena Na Simu Nyingine Maeneo hayo Tajwa hapo Juu ili ULIJUE Jiji Vizuri.
 
Unakumbuka serio no za cm? Kama ndivyo zitaja na mwaka tukupatie njia ya kupata cm! Siku nyingine acha kuchukua madem wa FB utakuta hata chup huna,haya leta hzo deteilz haraka tukutafutie sim zako.
 
Watanzania wenzako wanakufa kwa njaa wewe unamiliki simu tatu za gharama kiasi hicho?
Nampongeza sana aliyekuibia hizo simu naye akapate mtaji awe mjasiriamali!
 
Serio no IMEI no 356318053282840 hii ni Nokia X2
IMEI no 354598052282105 hii Nokia Asha 310
IMEI no 863522025672113 hii ni HUAWEI Ascend Y300
 
Pia cm kwenye mtandao wako,waambie tatzo lako ksha watakuulza hzo SN utawapa na hzo cm ztafungwa na haztafanya kaz tena
 
Ze la Mgundin unanikumbusha mim mwenyewe nimeibiwa HUAWEI 300 Y nilichokifanya nilienda kuripoti kituo cha polisi ili wanisaidie kiukweli simu huwa zinapatikana kiurahisi kwasabu polisi huandika barua kwenda ktk kampuni ya mtandao wa simu ambayo ww umeipoteza alafu wao huwatajia nani ambae anatumia simu yako kisha jamaa wana iTRACE wapi inapotumika kwakifupi nenda polisi karipoti alafu watakuelekeza uende kwenye kitengo cha CYBER CRIME wao ndo mpango mzima kwa kesi hizo NB.hakikisha unakuwa na risiti yenye EME # kama kithibitisho
 
Back
Top Bottom