Naomba kumjua huyu..

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
2,286
Reaction score
4,604
wakuu bila kupoteza muda naomba kumjua huyu jamaa alieweza kuuchapa mbele ya muheshimiwa rais, kirahisi rahisi hivyo nimependa ukakamavu wake...
 
Wakuitwa Jaffo waziri wa TAMISEMI majuzi tu kamsifia kuwa ni waziri Mchapakazi wa kupigiwa mfano,, kwaiyo nahisi ni kupitiwa tu maana usingizi hauna "baunsa" na wala siyo kujisahau au kulewa misifa..
hahahaha
 
Mh mbn kma ana note down points za kikao....yawezekana aliyemfotoa alimpiga alipokuwa kakaa hyo style

Ova
 
Enzi za Jk uwaziri ilikuwa ni bata ila kwa sasa ni mzigo na mastress kibao
 
Hahaha atakuja jilaumu sana akija iona hii picha.
 
Watanzania kwa 'kufukunyua' vijimambo hawajambo. Huyo hajalala. Pata picha yule wa miwani naye angekuwa hana, naye tungesema anasinzia?....sema mh anamacho ya kifilipino, akiinama anakuwa kama amelala. Angelivaa miwani tusingelimtilia mashaka.
 
Wakuitwa Jaffo waziri wa TAMISEMI majuzi tu kamsifia kuwa ni waziri Mchapakazi wa kupigiwa mfano,, kwaiyo nahisi ni kupitiwa tu maana usingizi hauna "baunsa" na wala siyo kujisahau au kulewa misifa..

Hakuwa amelala Jaffo ana style ya kukefya ya taratibu sana na hapo alikuwa anaandika point zinazoongelewa.
 
uchonganishi huo.... huyo ndo waziri mchapakazi kuliko wote duniani kwa mujibu wa aliyekaa nae pembeni
 
You made my day.... Ataunguzwa balaaaaaa

Huyu siku hizi ameshakuwa mpole, nashangaa muno watu wanaolalamika kuwa ni mkali. Kipindi yuko Waziri wa Ujenzi, mimi nilikuwa nimesham-nick-name WILDFIRE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…