orrent nao kuna mda uwa wqnasumbua sio
Naisi hatujaelewana mkuu mi sja compare idm na torrent coz upakuaj wa torrent ni tofaut na idm hap nazungumzia utofaut na sio kufananisha izi app mbilihuwezifananisha IDM na Torrent, ni vitu viwili tofauti, japo zote zinahusika na upakuaji wa files
IDM inatumia protocol ya HTTP, wewe client unapakua file kutoka kwa server, sifa za iyo server itaathiri spidi ya upakuaji...
Torrents haiepukiki maana kuna takamaka nyingine kuzipata kwenye direct link shughuli ila kwenye torrent sites unazikutaNaisi hatujaelewana mkuu mi sja compare idm na torrent coz upakuaj wa torrent ni tofaut na idm hap nazungumzia utofaut na sio kufananisha izi app mbili
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Yeap sikatai mkuuTorrents haiepukiki maana kuna takamaka nyingine kuzipata kwenye direct link shughuli ila kwenye torrent sites unazikuta
huwezifananisha IDM na Torrent, ni vitu viwili tofauti, japo zote zinahusika na upakuaji wa files
IDM inatumia protocol ya HTTP, wewe client unapakua file kutoka kwa server, sifa za iyo server itaathiri spidi ya upakuaji
Torrent inatumia P2P (mtu kwa mtu) protocol, unapakua file moja kwa moja kutoka kwa PC/HDD ya mtu mwingine, hakuna server,
idadi ya wenye ilo file likiwa complete ( seeders ) itaathiri spidi ya upakuaji
ukitaka ku compare ni vyema ukatumia softwares zinazo run kwa protocol moja mf: IDM, FDM, IDA au JDownloader
na upande wa pili: uTorrent, BitTorrent au Transmission-Qt
Ni pale inapokuwa connected na umekubali seeding ya hilo file kwenye torrentsSasa mkuu mtu anaetumia hiyo P2P kupakua movie kwenye HDD yangu anawezaje kufanya hivyo ikiwa PC yangu nimezima?(Haipo kwenye network)
Seeding maana yake ni nini mkuu?Ni pale inapokuwa connected na umekubali seeding ya hilo file kwenye IDM
Anaweza kupakua hata ukiwa offline inategemea kuna wangapi nyuma walipakua na yeye ataendea hapoSasa mkuu mtu anaetumia hiyo P2P kupakua movie kwenye HDD yangu anawezaje kufanya hivyo ikiwa PC yangu nimezima?(Haipo kwenye network)
Mkuu dronecamera kaieleza kule juu, yani ni uploading kwa ajili ya kushare kile ambacho ulishadownload wewe kwa watu wengine wanaodownload kitu kama hicho hichoSeeding maana yake ni nini mkuu?
Ohhhh!!Kwa hiyo mkuu hao wa nyuma waliokwishapakua ni lazima wawe online?Anaweza kupakua hata ukiwa offline inategemea kuna wangapi nyuma walipakua na yeye ataendea hapo
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
NopeOhhhh!!Kwa hiyo mkuu hao wa nyuma waliokwishapakua ni lazima wawe online?
Kwanza tuelewe kitu kama file yyte au data zzte ambazo zitakuwa torrent zinaweza kudownlodika hata kama aliye appload hayupo online ugumu utakuja pale seeders wanapokuwa wadgo ndio upakuaj wa file unakuwa slow hata kama una network kubwa vip ila idm yenyew haina seeders coz una download kupitia direct link iliyowekwa na website maalumOhhhh!!Kwa hiyo mkuu hao wa nyuma waliokwishapakua ni lazima wawe online?
Sasa mtu anapakuaje movie kwenye HDD ambayo PC yake imezimwa?
Mkuu sizungumzii file ambazo zipo torrrent.Niliuliza swali kwa jamaa aliesema kuwa torrent huwa inapakua movie kutoka kwenye HDD za PC(P2P).Sasa ndo nikauliza mtu yuko marekani kwa mfano,anawezaje kupakua movie kutoka kwenye HDD ya PC yangu ambayo nimezima?Kwanza tuelewe kitu kama file yyte au data zzte ambazo zitakuwa torrent zinaweza kudownlodika hata kama aliye appload hayupo online ugumu utakuja pale seeders wanapokuwa wadgo ndio upakuaj wa file unakuwa slow hata kama una network kubwa vip ila idm yenyew haina seeders coz una download kupitia direct link iliyowekwa na website maalum
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mmmhh sasa wasipokuwa online watashareje files? Na seeders ni watu wanaoshare file kwa wakati huo na ndio maana wanaongezeka au sometimes wanapungua wakati unadownload.
ku seed mpaka uwe online, kuwa online maana yake ISP(Tigo,Voda) amekupa public IP address inayokutambulisha kama Peer (mtu) kwenye torrent networkingSasa mtu anapakuaje movie kwenye HDD ambayo PC yake imezimwa?
Shukrani mkuu!Kwa hiyo nikiwa nimezima PC yangu hataweza kupakua siyo?ku seed mpaka uwe online, kuwa online maana yake ISP(Tigo,Voda) amekupa public IP address inayokutambulisha kama Peer (mtu) kwenye torrent networking
seeding==uploading, mda huo unakua server, yule anaye download kutoka kwako(leecher) anakua client
hutawezaShukrani mkuu!Kwa hiyo nikiwa nimezima PC yangu hataweza kupakua siyo?