Naomba kujuzwa utofauti wa IDM na torrent

chuxxe

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
600
348
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa torrents na vingi nilijifunza humu humu mpaka kuusu maswala ya seeders niliyapata humu humu mwanzoni kabisa kwa network nilikuwa nadownload GB 14 tyu yhn kwa masaa sita nilikuwa napata 1 Mbps ila badae ilikuja kupanda mpka 5mbps.

Baadaye nikaja kuhama nilipokuwa naishi na hapo ndio shida ikaanza sehem niliyopo niliisi haina 4g maana natumia smart kitoch so kupata 4g mpk nicomand hivyo torrent niliishia kupata 1mbps kushuka chini na juzi likaamua kuachana na torents nikaamua kutumia idm hapa kuna utofaut kwa idm napata 3Mbps na kuendelea na Jana nimefanikiwa kudownload gb30 kwa masaa sita hii imenipa maswali kidg je pia torrent nao kuna mda uwa wqnasumbua sio

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mwanzoni torents....
IMG_20200819_001150.jpg

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
orrent nao kuna mda uwa wqnasumbua sio

huwezifananisha IDM na Torrent, ni vitu viwili tofauti, japo zote zinahusika na upakuaji wa files

IDM inatumia protocol ya HTTP, wewe client unapakua file kutoka kwa server, sifa za iyo server itaathiri spidi ya upakuaji

Torrent inatumia P2P (mtu kwa mtu) protocol, unapakua file moja kwa moja kutoka kwa PC/HDD ya mtu mwingine, hakuna server,
idadi ya wenye ilo file likiwa complete ( seeders ) itaathiri spidi ya upakuaji

ukitaka ku compare ni vyema ukatumia softwares zinazo run kwa protocol moja mf: IDM, FDM, IDA au JDownloader

na upande wa pili: uTorrent, BitTorrent au Transmission-Qt
 
IDM inatumia protocol ya HTTP, wewe client unapakua file kutoka kwa server, sifa za iyo server itaathiri spidi ya upakuaji...
Naisi hatujaelewana mkuu mi sja compare idm na torrent coz upakuaj wa torrent ni tofaut na idm hap nazungumzia utofaut na sio kufananisha izi app mbili

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Naisi hatujaelewana mkuu mi sja compare idm na torrent coz upakuaj wa torrent ni tofaut na idm hap nazungumzia utofaut na sio kufananisha izi app mbili

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Torrents haiepukiki maana kuna takamaka nyingine kuzipata kwenye direct link shughuli ila kwenye torrent sites unazikuta
 
huwezifananisha IDM na Torrent, ni vitu viwili tofauti, japo zote zinahusika na upakuaji wa files

IDM inatumia protocol ya HTTP, wewe client unapakua file kutoka kwa server, sifa za iyo server itaathiri spidi ya upakuaji

Torrent inatumia P2P (mtu kwa mtu) protocol, unapakua file moja kwa moja kutoka kwa PC/HDD ya mtu mwingine, hakuna server,
idadi ya wenye ilo file likiwa complete ( seeders ) itaathiri spidi ya upakuaji

ukitaka ku compare ni vyema ukatumia softwares zinazo run kwa protocol moja mf: IDM, FDM, IDA au JDownloader

na upande wa pili: uTorrent, BitTorrent au Transmission-Qt

Sasa mkuu mtu anaetumia hiyo P2P kupakua movie kwenye HDD yangu anawezaje kufanya hivyo ikiwa PC yangu nimezima?(Haipo kwenye network)
 
Ohhhh!!Kwa hiyo mkuu hao wa nyuma waliokwishapakua ni lazima wawe online?
Kwanza tuelewe kitu kama file yyte au data zzte ambazo zitakuwa torrent zinaweza kudownlodika hata kama aliye appload hayupo online ugumu utakuja pale seeders wanapokuwa wadgo ndio upakuaj wa file unakuwa slow hata kama una network kubwa vip ila idm yenyew haina seeders coz una download kupitia direct link iliyowekwa na website maalum

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza tuelewe kitu kama file yyte au data zzte ambazo zitakuwa torrent zinaweza kudownlodika hata kama aliye appload hayupo online ugumu utakuja pale seeders wanapokuwa wadgo ndio upakuaj wa file unakuwa slow hata kama una network kubwa vip ila idm yenyew haina seeders coz una download kupitia direct link iliyowekwa na website maalum

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu sizungumzii file ambazo zipo torrrent.Niliuliza swali kwa jamaa aliesema kuwa torrent huwa inapakua movie kutoka kwenye HDD za PC(P2P).Sasa ndo nikauliza mtu yuko marekani kwa mfano,anawezaje kupakua movie kutoka kwenye HDD ya PC yangu ambayo nimezima?
 
ku seed mpaka uwe online, kuwa online maana yake ISP(Tigo,Voda) amekupa public IP address inayokutambulisha kama Peer (mtu) kwenye torrent networking

seeding==uploading, mda huo unakua server, yule anaye download kutoka kwako(leecher) anakua client
Shukrani mkuu!Kwa hiyo nikiwa nimezima PC yangu hataweza kupakua siyo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom