Carina Si na Carina Ti, ni gari zinazofanana kabisa muonekano.... lakini zinapishana engine...
Si inatumia engine ya 7A, ambayo ni 1790cc
Ti inatumia engine ya 5A, ambayo ni 1498cc
Utofauti huo unapelekea Carina Ti kuwa na unywaji mdogo wa mafuta ukilinganishwa na Si....
Lakini Si ina nguvu zaidi ya Ti...
Kwa mtu wa kusafirisafiri, chagua Si, mtu wa trip za town... kamata Ti.
NB: kwa mtazamo wangu, naona zote zinahimili vumbi.
Sent from my iPhone using JamiiForums