Naomba kujuzwa kuhusu shirika la Climate of Africa

updater

Senior Member
Jan 28, 2013
125
37
Habari wanajamvi? Naomba kujuzwa kama kuna mtu aliwahi kuombaga kuna post ilitangazwa na taasisi moja inaitwa Climate of Africa maana niombaga post kwa bahati nzuri walininishort list na wakanitumia staff assesment form nikajaza lakini tokea nimetuma na kujibiwa kua wameipata sijawahi kuitwa kwenye interview na walisema wanahitaji kuijaza ile post haraka ni mwezi wa tatu sasa umeisha. Website yao ni www.climateofafrica.org
 
Matapeli hao
 
Back
Top Bottom