Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya law

Feb 8, 2017
79
27
Wakuu habar zenu,

Mimi kijana graduate Wa sheria, bila kuwachosha naomba kuuliza, kwenye ajira za serikali, ni Kazi gani anaweza Fanya law graduate bila kupitia law school ?
 
Back
Top Bottom