Nilikuwa natafuta shirika la software development linalo patikana Mwanza.
Ambapo naweza fanyia field, so kama unamiliki kampuni au unafaham kampuni ambapo naweza fanyia field usisite kunifahamisha.
Salam wakuu, nilikuwa natafuta shiriki la software development linalo patikana Mwanza.