Naomba kujua jinsi ya kuuza makala

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Hellow habari,

Mimi ni mwandishi wa makala za utambuzi naomba nisaidiwe jinsi ya ambavyo naweza kuuza makala zangu kupitia magazeti. Ama kama naweza kuzirusha kupitia vipindi vya TV.
 
Hellow habari,mimi nii mwandishi wa makala za utambuzi naomba nisaidiwe jinsi ya ambavyo naweza kuuza makala zangu kupiyia magazeti.Ama kama naweza kuzirusha kupitia vipindi vya TV
mkuu nenda azam pale kajielezee vizuri. wakikuelewa utapiga mpunga mrefu sana
 
Makala pia huweza kuwa zimerekoduwa na baadaye huwa zinarushwa.Naona nyingi zikirushwa pia kuoitia TV.

Ninazo pia ambazo nimezirekodi.Lakini ishu napenyaje
 
Makala pia huweza kuwa zimerekoduwa na baadaye huwa zinarushwa.Naona nyingi zikirushwa pia kuoitia TV.

Ninazo pia ambazo nimezirekodi.Lakini ishu napenyaje
Umerekodi vipindi mwenyewe au ulienda production house ?
 
Back
Top Bottom