Naomba Kujua Hili Wakuu.

Naomba Kujua Hili Wakuu.

Hivi biashara za online ni kwa ajili ya wadada tu?.
.
Nauliza Hivi Kwa Sababu asilimia Kubwa Ya Wanaofaya Online Business ni Wadada.
.
Je Wanaume Hawaruhusiwi Kufanya Hii Biashara au ni Mindset ya Uanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanafanya, watu wanauza magari, nyumba, viwanja, simu, nguo, packages za utalii. Sema tu, unakuta mtu biashara ya mwanaume, anayemweka mtandaoni atangaze biashara ni binti. Ni stratergy ya matketing tu
 
Back
Top Bottom