Mkuu mimi binafsi sijawahi enda Angola ila kuna kipindi nilitaka kwenda huko nikaghairi...nimeshauri kuhusu chakula kwa kuwa huwa napishana na maroli sesheke boda ya Namibia yaakiitafuta Angola mengi ya Kitanzania..kipindi cha nyuma walikua wanapeka nguo izo za Thailand zilikua bei nzuri kwa dola pale...kuna mdada mmoja yupo mbeya yeye anapeleka chakula kwa sina contact zake...